Roma Mkatoliki ni msanii maarufu wa hiphop Tanzania ambaye kwenye upande
wa pili wa maisha ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa longtime
ambaye wana mtoto pamoja (Ivan) na April 9 2016 ndoa imefungwa nyumbani
Tanga na ni baada ya send-off kufanyika Dar es salaam February 2016.
Mwanamuziki Roma Mkatoliki Kafunga ndoa Jana Kwao Tanga.....
Reviewed by The Choice
on
9:06:00 AM
Rating: 5
No comments: