Muda ukifika nitaongea – TID

Baada ya KR kujitambulisha kuwa yeye ndiye Rais wa RADA Entertainment na Juma Nature kumpinga kwa kejeli akisema hamtambui Rais yoyote zaidi ya Rais Magufuli hatimaye TID anyoosha maelezo.
Muimbaji wa Bongo Fleva TID akiwa na rapper KR Mullah
Muimbaji wa Bongo Fleva TID akiwa na rapper KR Mullah
T.I.D amesema muda ukifika watamuapisha rasmi KR Mulla kuwa Rais wa Radar Entertainment na kutoa sababu za kufanya kazi na KR Mulla katika label yake.
Zaidi eNews ilipotaka kupata maelezo ya kina juu ya tuhuma za TID kuhusishwa na matumizi ya madawa ya kulevya, TID aligoma kusema chochote, na hata alipoulizwa juu ya tuhuma hizo kwa wasanii wengine pia TID alisema “Muda ukifika nitaongea”.
eatv.tv
Muda ukifika nitaongea – TID Muda ukifika nitaongea – TID Reviewed by The Choice on 12:20:00 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.