MKALI WA R&B BEN POL APATA MTOTO WA KIUME ANGALIA PICHA HAPA

Ben
Ben Pol ni mpenzi wa ngoma ya marehemu Ngwair na Jay Moe ‘Kimya Kimya.’
Ni kwasababu tumebaini kuwa mfalme huyo wa R&B kama anavyojiita ni baba wa mtoto wa kiume mwenye miezi kadhaa sasa!

Muimbaji huyo wa ‘Ningefanyaje’ amepiga kimya lakini sio rahisi kwa mama aliyejifungua kuificha furaha ya kupata mtoto. Mchumba wa Ben Pol, Latifa Mohamed aka Queen Tipha aliyewahi kuwa mshindi wa pili kwenye Miss Tanzania 2013 ametusogeza karibu na mtoto wao. Tazama picha za Tipha na mwanae.
12918443_968778183229119_1982368644_n
12960099_228403064215101_10817284_n
12960147_1138644399499710_1329504433_n
12965901_260183164315647_598076428_n
12976116_278227469175720_35650423_n
12976287_1170848142946592_53411935_n
Hongera sana Ben Pol.

chanzo na Bongo

MKALI WA R&B BEN POL APATA MTOTO WA KIUME ANGALIA PICHA HAPA MKALI WA R&B BEN POL APATA MTOTO WA KIUME ANGALIA PICHA HAPA Reviewed by The Choice on 10:11:00 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.