MASKINI ...NGOZI YA RAY KIGOSI YAANZA KUBABUKA ...TAZAMA HIZI PICHA

post-feature-imageNguli katika tasnia ya filamu hapa nchini, Vincent Kigosi maarufu kwa jina la Ray, miezi michache iliyopita alifanyiwa mahojiano na eNewz ya EATV nakujibu kuwa uweupe alio nao kwasasa hautokani na mikorogo kama watu wanavyo dai bali huletwa na kunywa maji mengi pamoja na mazoezi kitu kilichosababisha Tanzania kumfahamu Ray zaidi.

Lakini sasa upande wa Instagram umeibua utani mpya baada ya Ray kupost picha yake mwenyewe kwenye account yake ya Insta na watu kuitazama picha ya staa huyo huku sura yake ikifanana na sakafu ya eneo alilo kuwepo.

Ukiitizama picha hiyo hapo juu, Nikweli Ray anafanan rangi na sakafu hiyo? Dondosha maoni yako hapa chini.
MASKINI ...NGOZI YA RAY KIGOSI YAANZA KUBABUKA ...TAZAMA HIZI PICHA MASKINI ...NGOZI YA RAY KIGOSI YAANZA KUBABUKA ...TAZAMA HIZI PICHA Reviewed by The Choice on 8:01:00 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.