HURUMA...GARI Lateketea Kwa Moto Pamoja na Dereva Akiwa Ndani.. Share Habari Hii Imfikie Mwenye Gari


KUNA GARI IMEPATA AJALI MAENEO YA MBEZI BEACH AFRICANA GARI NO T598BEL TOYOTA LANDCRUISER DEREVA KAUNGUA HAJAFAHAMIKA HATA KWA SURA,SAMBAZA UJUMBE HUU GROUP TOFAUTI ILI WENYE NDUGU WAMFAHAMU,GARI LIPO POLISI KAWE.
HURUMA...GARI Lateketea Kwa Moto Pamoja na Dereva Akiwa Ndani.. Share Habari Hii Imfikie Mwenye Gari HURUMA...GARI Lateketea Kwa Moto Pamoja na Dereva Akiwa Ndani.. Share Habari Hii Imfikie Mwenye Gari Reviewed by The Choice on 9:26:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.