HIZI NDIZO MALI ANAZO MILIKI BILIONEA DONALD TRUMP WA MAREKANI
Najua
kuna watu wangu mnafuatilia mchakato wa uteuzi wa kumpata mgombea urais
Marekani. Dolnad Trump ni moja ya wagombea wa Republican ambao
wamechukua headline sana na anaonekana kama kuelekea kufanikiwa hivi,
usishangae ikaishie anaingia white house.
Mwanasiasa
huyu mtata amezaliwa sehemu ambayo wazazi wana pesa, lakini mali zake
zimekuwa zikiongezeka kutokana na biashara zake, sasa ana miaka 69 na
ana utajiri wa unaokadiriwa kufika Dola bilioni 8.7 kwa takwimu za june
2015.
HIZI NDIZO MALI ANAZO MILIKI BILIONEA DONALD TRUMP WA MAREKANI
Reviewed by The Choice
on
7:38:00 AM
Rating:
No comments: