Hii ndio nyumba nyingine ya Diamond yenye thamani ya Milion 95
Hapa nyumba tu, Diamond Platnumz ameongeza idadi ya nyumba anazomiliki baada ya kununua nyingine.

“Ilibidi niongeze kibanda kimoja jana…. thanks@dalalimwanamkena Mama ya platnumz@rahdh_one kwa kulifanikisha hili….
” Ameandika Diamond kwenye video aliyoiweka Instagram ya nyumba hiyo iliyopo Salasala.
Nyumba hiyo ilitangazwa kuwa sokoni siku mbili zilizopita kwa bei ya Million 95.
Hivi karibuni aliweka wazi kuwa ana nyumba nyingine Afrika kusini..
“Ilibidi niongeze kibanda kimoja jana…. thanks@dalalimwanamkena Mama ya platnumz@rahdh_one kwa kulifanikisha hili….
Nyumba hiyo ilitangazwa kuwa sokoni siku mbili zilizopita kwa bei ya Million 95.
Hivi karibuni aliweka wazi kuwa ana nyumba nyingine Afrika kusini..
Hii ndio nyumba nyingine ya Diamond yenye thamani ya Milion 95
Reviewed by The Choice
on
7:51:00 PM
Rating:

No comments: