HAWA NDO MAJAMBAZI MAARUFU WA KUIBA MAGARI HAPA DAR...WADAKWA NA POLISI WAKIWA NA MAGARI YA WIZI NYUMBANI KWAO .TAZAMA HAYA MAGARI WALIYO IBA
wamedakwa waligeuza nyumba yao maeneo ya Boko/Bunju Yard ya Magari ya Wizi , Kama kuna ndugu jamaa au Rafiki aliibiwa Noah mpe Taarifa afike Oysterbay police #UlinziShirikishi
HAWA NDO MAJAMBAZI MAARUFU WA KUIBA MAGARI HAPA DAR...WADAKWA NA POLISI WAKIWA NA MAGARI YA WIZI NYUMBANI KWAO .TAZAMA HAYA MAGARI WALIYO IBA
Reviewed by The Choice
on
9:33:00 PM
Rating:
No comments: