HATIMAYE P-SQUARE WA NIGERIA WAANZA KUVAA KOFIA ZA DIAMOND PLATNUMZ
Ukimuona Paul Okoye wa kundi la P-Square akiwa amevaa kofia ya WCB na
yupo Johannesburg, Afrika Kusini ambako Diamond yupo huko tangu
mwanzoni mwa wiki hii kuzindua video ya Colors of Africa, ujue mambo
yameiva.
Paul amepost picha Instagram akiwa amevaa kofia nyeupe ya WCB, label ya Diamond na kuashiria kuwa huenda wiki hii wakali hao wakashoot video ya collabo yao. Diamond aliingia studio na P-Square mwaka jana.
Kituo cha runinga cha MTV Base kiliripoti wiki hii kuwa Diamond atashoot video ya wimbo huo hivi karibuni.
Paul amepost picha Instagram akiwa amevaa kofia nyeupe ya WCB, label ya Diamond na kuashiria kuwa huenda wiki hii wakali hao wakashoot video ya collabo yao. Diamond aliingia studio na P-Square mwaka jana.
Kituo cha runinga cha MTV Base kiliripoti wiki hii kuwa Diamond atashoot video ya wimbo huo hivi karibuni.
HATIMAYE P-SQUARE WA NIGERIA WAANZA KUVAA KOFIA ZA DIAMOND PLATNUMZ
Reviewed by The Choice
on
10:09:00 PM
Rating:
No comments: