Edward Lowassa Azidiwa Nguvu...Magufuli Azidi Kupigilia Msumari...Aombwa Kustaafu Siasa
Ushauri wa kwa Lowassa, ni heri nusu shari kuliko shari kamili, bora
astaafu siasa apumzike kwa heshima watanzania tutamkumbuka kwa kuleta
changamoto katika siasa za nchini hii.
Lakini kwa kasi hii ya Magufuli haiwezi, kama ataendelea na ndoto zake kuutaka urais 2020 atakuja kuaibika kwa kupata kura chache pengine huenda asifikishe hata robo ya kura alizozipata 2015.
Magufuli ni habari nyingine kabisa amefunika kila upande, nyota yake inag'aa Tanzania nzima, wananchi wote wamemkubali hata Mbowe na wabunge wa upinzani wamekubali kuwa hakuna kama Magufuli.
Bora Lowassa akasoma alama za nyakati la sivyo ataendelea kuisoma namba JPM
Lakini kwa kasi hii ya Magufuli haiwezi, kama ataendelea na ndoto zake kuutaka urais 2020 atakuja kuaibika kwa kupata kura chache pengine huenda asifikishe hata robo ya kura alizozipata 2015.
Magufuli ni habari nyingine kabisa amefunika kila upande, nyota yake inag'aa Tanzania nzima, wananchi wote wamemkubali hata Mbowe na wabunge wa upinzani wamekubali kuwa hakuna kama Magufuli.
Bora Lowassa akasoma alama za nyakati la sivyo ataendelea kuisoma namba JPM
Edward Lowassa Azidiwa Nguvu...Magufuli Azidi Kupigilia Msumari...Aombwa Kustaafu Siasa
Reviewed by The Choice
on
9:12:00 AM
Rating:
No comments: