Daraja Jipya la Kigamboni Limeanza Kutumika Leo..Hizi Hapa Picha

April 16 2016 ni siku ya kwanza kwa wakazi wa kigamboni kuanza kutumia Daraja jipya la kigamboni, kuvuka kutoka upande wa vijibweni kwenda upande wa pili wa kurasini Daraja la kigamboni litafunguliwa rasmi siku ya tareheApril 19 2016 na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John pombe Magufuli


Daraja Jipya la Kigamboni Limeanza Kutumika Leo..Hizi Hapa Picha Daraja Jipya la Kigamboni Limeanza Kutumika Leo..Hizi Hapa Picha Reviewed by The Choice on 11:01:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.