Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete afiwa na kaka yake

Mzee Selemani Mrisho Kikwete amefariki Leo nchini India alipokwenda
kwenye matibabu.
Mzee Seleman ni kaka mkubwa wa mheshimiwa rais aliyepita ndugu
Jakaya M.kikwete.
Jakaya M.kikwete.
Tunapenda kutoa salam za pole na rambirambi kwa ukoo na familia ya
Kikwete kwa hakika huu ni msiba mzito .
Kikwete kwa hakika huu ni msiba mzito .
Innah lillah wainah iraijrajiun
source:jamiiforums
source:jamiiforums
Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete afiwa na kaka yake
Reviewed by The Choice
on
1:45:00 PM
Rating:

No comments: