Picha: Diamond Platnumz aonyesha mapurunguti ya dola alizochuma Dubai
Katika nyakati ambazo umepigika, nakushauri usiangalia page ya Instagram
ya Diamond sababu utaumia roho bure! Diamond ameamua kuwaonesha
mashabiki wake madolari aliyoyachuma Dubai wiki hii. Ni mengi!! Staa
huyo amepost burungutu sita zilizoshiba za dola mia mia zikiwa juu ya
gitaa.
Kwakuwa alitaka picha izungumze, aliandika tu: See you Next time DUBAI!!!!
Kwakuwa alitaka picha izungumze, aliandika tu: See you Next time DUBAI!!!!
Picha: Diamond Platnumz aonyesha mapurunguti ya dola alizochuma Dubai
Reviewed by The Choice
on
9:48:00 PM
Rating:
No comments: