Picha: Christian Bella na mke wake wapata mtoto wa kiume nchini Sweden
Mke wa muimbaji na kiongozi wa Malaika Band, Christian Bella
amejifungua mtoto wa kiume hivi karibuni na kuipatia familia hiyo mtoto
wa tatu. Bella ana mtoto anaitwa Jordan (7) Hance (2) pamoja na
Christopher ambaye amezaliwa hivi karibuni.
Kupitia instagram, Bella ameandika "Asante mungu kwa kunipa mtoto nina furaha sanaaa. Alizaliwa jana usiku , Hospital karolinska ,stockholm sweden , karibu sana my boy christopher penda wewe sanaaa"
Mke wa Christian Bella anaishi nchini Sweden
Kupitia instagram, Bella ameandika "Asante mungu kwa kunipa mtoto nina furaha sanaaa. Alizaliwa jana usiku , Hospital karolinska ,stockholm sweden , karibu sana my boy christopher penda wewe sanaaa"
Mke wa Christian Bella anaishi nchini Sweden
Picha: Christian Bella na mke wake wapata mtoto wa kiume nchini Sweden
Reviewed by The Choice
on
10:07:00 AM
Rating:

No comments: