Nyota wa muziki nchini Uganda Eddy Kenzo alazwa hospitali
Mwanamuziki kinara wa nchini Uganda, Eddy Kenzo amelazwa katika
hospitali ya Malcolm nchini humo baada ya kuugua Typhoid na Malaria
masaa machache tu baada ya kutoka jiji la Nairobi kwenye show aliyo
ifanya huko.
Kwamujibu wa chanzo cha karibu na staa huyo, Eddy Kenzo imemlazimu kusimamisha show zake alizokuwa azifanye mpaka itakapo malizika Pasaka.
Kutokana na kudhoofu sana ndani ya mwili, Dakitari wa mwanamzuiki huyo amemshauri pia apate muda mrefu wa kupumzika kutokana na mwili wake kuchoka zaidi.
Eddy Kenzo anatarajia kutoka hospitali asubuhi hii.
Kwamujibu wa chanzo cha karibu na staa huyo, Eddy Kenzo imemlazimu kusimamisha show zake alizokuwa azifanye mpaka itakapo malizika Pasaka.
Kutokana na kudhoofu sana ndani ya mwili, Dakitari wa mwanamzuiki huyo amemshauri pia apate muda mrefu wa kupumzika kutokana na mwili wake kuchoka zaidi.
Eddy Kenzo anatarajia kutoka hospitali asubuhi hii.
Nyota wa muziki nchini Uganda Eddy Kenzo alazwa hospitali
Reviewed by The Choice
on
8:18:00 PM
Rating:

No comments: