NEC yawarejesha bungeni Ritha Kabati, Lucy owenya
Akizungumza
na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam leo, Mwenyekiti wa tume
hiyo Jaji Damian Lubuva amesema kuwa wabunge hao walioteuliwa ni kwa
mujibu wa mtiririko wa majina yaliyotumwa na Katibu Mkuu wa vyama
husika.
Ikumbukwe kuwa Tume hiyo katika kikao chake cha tarehe 11/11/2015, ilifanya uteuzi wa wabunge wanawake wa viti maalum 113 kwa mwaka 2015, lakini walioteuliwa walikuwa 110 kati ya 113.
Viti 3 vilibakizwa kusubiri uchaguzi uchaguzi wa majimbo 8 ambayo uchaguzi wake uliahirishwa kutokana na sababu mbalimbali.
Jaji Lubuva amesema kuwa uteuzi wa awali ulihusisha vyama vilivyofikisha asilimia 5 ya kura zote za wabunge kama matakwa ya Katiba yanavyotaka.
Amevitaja vyama vilivyofikisha asilimia tano ambayo ilikuwa 780,226 kuwa ni Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho katika majimbo nane yaliyorudia uchaguzi kimepata jumla ya kura 162,535, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ambacho katika uchaguzi wa majimbo 8 kimepata kura 92,958 na Chama cha Wananchi CUF kimepata kura 17,860.
Idadi hiyo ya kura katika majimbo 8, imefanya sasa jumla ya kura zote katika majimbo 256 kuwa 8,495,488 kwa CCM, huku CHADEMA ikifikisha kura 4,720,881 na CUF imefikisha kura 1,274,911.
Wabunge wateule Ritha Kabati na Lucy Owenya walikuwemo katika Bunge la 10, huku Oliver Semuguruka

Reviewed by The Choice
on
12:15:00 PM
Rating:
No comments: