Mkubwa Fella azungumzia suala la wasanii wake kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya
Meneja wa Kundi la TMK Wanaume Family na Yamoto Band, Mkubwa Fella
amekanusha madai ya kwamba wasanii wake wamekuwa wakijihusisha na
biashara ya madawa ya kulevya. Akiongeza na Sporah Show ya Clouds TV
Jumamosi hii, Fella aliulizwa kwamba kuna taarifa zina sambaa kuwa
wasanii wake pamoja na yeye mwenyewe anajihusisha na biashara ya madawa
ya kulevya.
“Hakuna madawa ya kulevya wala nini,” alisema Fella.
Aliongeza, “Mimi mwenyewe nakituo changu cha kuwasaidia walio athirika na madawa ya kulevya. Teja wowote akitaka kuja kupona ni bure, sasa kama mimi ni muuzaji tena kwanini niwatibu, si napoteza wateja,
“Hakuna madawa ya kulevya wala nini,” alisema Fella.
Aliongeza, “Mimi mwenyewe nakituo changu cha kuwasaidia walio athirika na madawa ya kulevya. Teja wowote akitaka kuja kupona ni bure, sasa kama mimi ni muuzaji tena kwanini niwatibu, si napoteza wateja,
Mkubwa Fella azungumzia suala la wasanii wake kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya
Reviewed by The Choice
on
8:47:00 AM
Rating:

No comments: