LIST YA WASANII MATAJILI ZAIDI NCHINI NIGERIA IKIONGOZWA NA P SQUARE
1]
P Square, ‘Peter Okoye, Paul Okoye’ wamefanya muziki toka 2001, wote
wana lebel zao wenyewe na ni mabalozi wa kubwa wa bidha tofauti Nigeria
2]
Don Jazzy aka Michael Collins Ajereh, Anafanya kazi hii toka mwaka
2004, ni msanii na anamiliki lebel kubwa ya Marvins, balozi wa bidha
kubwa Nigeria kama MTN, Loya Milk, Konga, na Johnny Walker, ana wasanii
wakubwa zaidi ya watono kwenye lebel yake ka Tiwa Savage na Koredo
Bello.
3] 2 Face aka Innocent Ujah Idibia , anafanya muziki toka 1996
4] Wizkid aka Ayodeji Ibrahim Balogun anafanya muziki toka mwaka 2001
5] Davido aka David Adedeji Adeleke boss wa lebel kubwa yenye wasanii zaidi ya watano HKN. anafanya muziki toka 2011
6] D’banj aka Oladapo Daniel Oyebanjo, msanii wa kimataifa liye chini ya lebel ya Kanye West, anafanua muziki toka mwaka 2004
7] Tiwa Savage aka Tiwatope Savage-Balogun, anafanya muziki toka 2006
8] Banky W aka Olubankole Wellington anafanya muziki toka mwaka 2003
9] M.I Abaga aka Jude Abaga, Boss wa lebel kubwa ya Chocolate City, anafanya muziki toka 2006
10] Olamide aka Olamide Adedeji ,anafanya muziki toka mwaka 2010
LIST YA WASANII MATAJILI ZAIDI NCHINI NIGERIA IKIONGOZWA NA P SQUARE
Reviewed by The Choice
on
6:33:00 AM
Rating:
No comments: