JENNIFER LOPEZ AONGELEA BIFU YAKE NA MARIAH CAREY
Kwenye kipindi cha The Wendy Williams Show, Jennifer Lopez alipata fursa ya kuzungumzia bifu yake na Mariah Carey.
Tetesi za ugomvi wao zilianza katika miaka ya 2000 pindi Carey alipoulizwa kuhusu Lopez na akajibu, “simfahamu.”
“Alisema hivyo. Ni msahaulifu nadhani,” J.Lo alisema kwenye mahojiano ya Alhamis hii.
“Tumekutana mara nyingi. Sijui. Simfahamu kihivyo.”
JENNIFER LOPEZ AONGELEA BIFU YAKE NA MARIAH CAREY
Reviewed by The Choice
on
10:32:00 AM
Rating:
No comments: