HALIMA MDEE APANDISHWA KIZIMBANI HUKU Polisi Dar ‘wapekua’ nyumbani kwake
Polisi jijini Dar es Salaam, jana wameikagua na kupekua baadhi ya nyaraka nyumbani kwa Mbunge wa Kawe Halima Mdee.
Hatua hiyo inakuja baada ya juzi Halima kushikiliwa na Jeshi la Polisi kutokana na vurugu zilizotokea ukumbi wa Karimjee katika hafla ya uchaguzi wa Meya jiji la Dar.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimelaani vikali Polisi kusachi Nyumbani kwa Mbunge huyo, wakidai ni uzalilishaji na ukiukwaji wa Demokrasia.
Katika upekenyuzi huo, Jeshi la polisi lililenga kupata nyaraka zitakazo saidia uchunguzi wa kesi hiyo
Hatua hiyo inakuja baada ya juzi Halima kushikiliwa na Jeshi la Polisi kutokana na vurugu zilizotokea ukumbi wa Karimjee katika hafla ya uchaguzi wa Meya jiji la Dar.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimelaani vikali Polisi kusachi Nyumbani kwa Mbunge huyo, wakidai ni uzalilishaji na ukiukwaji wa Demokrasia.
Katika upekenyuzi huo, Jeshi la polisi lililenga kupata nyaraka zitakazo saidia uchunguzi wa kesi hiyo
HALIMA MDEE APANDISHWA KIZIMBANI HUKU Polisi Dar ‘wapekua’ nyumbani kwake
Reviewed by The Choice
on
8:44:00 PM
Rating:
No comments: