Dogo Janja hataki tena shule?hiki ndicho alichosema



Dogo-Janja
Msanii wa bongo fleva,Dogo Janja amefunguka na kusema kuwa anajisikia vibaya pale anapoulizwa juu ya swala la yeye kukatisha masomo yake.
Msanii huyo alisema kwenye mahojiano yake na redio na kusema yeye sasa hivi yuko kikazi zaidi,usomi amewachia akina Nikk wa Pili.
Kwenye My life nimeishajibu tayari kuwa, msomi ni Niki wa Pili mimi niliachaga Makongo” alifunguka Dogo Janja.
Source: Times Fm
Dogo Janja hataki tena shule?hiki ndicho alichosema Dogo Janja hataki tena shule?hiki ndicho alichosema Reviewed by The Choice on 9:22:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.