Diamond huwa hali chakula anachopika house girl,kisa?Harmonize afunguka.

Msanii wa bongo Fleva Harmonize amefichua siri kuwa bosi wake msanii Diamond Platnumz huwa anakula chakula ambacho mke wake Zari amepika wakati akiwa nyumbani.

Harmonize amefunguka kuwa shemeji yake,Zari huwa hapendi chakula anachokula Diamond kipikwe na msaidizi wa kazi za ndani,huwa anapika yeye mwenyewe.

“Yani Zari ni shemeji bora kwangu, kwanza chakula cha Diamond hakipikwi na yeyote zaidi yake, so akimuwekea na mimi huwa nakula pia sababu Diamond nae hapendi kula peke yake” alifunguka msanii huyo anayetamba na wimbo wake wa Bado.
Diamond huwa hali chakula anachopika house girl,kisa?Harmonize afunguka. Diamond huwa hali chakula anachopika house girl,kisa?Harmonize afunguka. Reviewed by The Choice on 9:12:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.