DC MAKONDA ASEMA ANAMPANGO WA KUTENGA ENEO MOJA LITAKALO JENGWA BAR ZOTE WILAYA YA KINONDONI
“Kinondoni
nina mpango wa kutengeneza mtaa mmoja maalum wenye bar tu ili watu
wakitaka kwenda kunywa pombe waende mtaa huo bila kubugudhi. Nasubiri
muda tu ufike kwa sababu haiwezekani kila eneo liwe na bar mpaka nyuma
ya misikiti na nyuma ya makanisa,” ameeleza Makonda. Unakubaliana nayo
hii au unaipinga??
DC MAKONDA ASEMA ANAMPANGO WA KUTENGA ENEO MOJA LITAKALO JENGWA BAR ZOTE WILAYA YA KINONDONI
Reviewed by The Choice
on
6:41:00 AM
Rating:
No comments: