CEO wa Shirika la Ndege FastJet Afukuzwa Kazi, Kampuni Hatarini Kuishiwa Fedha


CEO wa FastJet kuacha kazi wiki hii baada ya wawekezaji kulalamika kuwa shirika lina gharama nyingi, ikiwa ni pamoja na kuwa na makao makuu London Gatwick pamoja na kwamba shirika linafanya kazi zake Tanzania.

Mwekezaji mkubwa Haji Ioannou amesema kuna hatari kampuni hiyo kuishiwa hela mwaka huu ndani ya miezi sita.
CEO wa Shirika la Ndege FastJet Afukuzwa Kazi, Kampuni Hatarini Kuishiwa Fedha CEO wa Shirika la Ndege FastJet Afukuzwa Kazi, Kampuni Hatarini Kuishiwa Fedha Reviewed by The Choice on 7:53:00 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.