BREAKNG NEWZZZ...AJALI AJALI....Magari manne yagongana na kusababisha vifo vya watu 4 na majeruhi 6 ktk msafara wa TAMISEMI

Msafara wa Wabunge wa Mkoa wa Pwani na RAS na Kamati ya TAMISEMI umepata ajali Bagamoyo - Kerege

Magari mawili yamegongwa na Lori, Gari na Mkurugenzi wa Bagamoyo na Gari la TASAF Bagamoyo.

Madereva wote wawili wa hizo gari wamefariki hapo hapo na Afisa Mipango naye amefariki.

Majeruhi wamekimbizwa Muhimbili hali mbaya.

[​IMG]
BREAKNG NEWZZZ...AJALI AJALI....Magari manne yagongana na kusababisha vifo vya watu 4 na majeruhi 6 ktk msafara wa TAMISEMI BREAKNG NEWZZZ...AJALI AJALI....Magari manne yagongana na kusababisha vifo vya watu 4 na majeruhi 6 ktk msafara wa TAMISEMI Reviewed by The Choice on 2:17:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.