BREAKING NEWZZZ......Wabunge wa CUF wajivua Ubunge
Katika barua ambayo imesainiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CUF Ahmed
Nassor Mazrui na kusambazwa kwa wanahabari leo Machi 18,2016, Wabunge
wote wa Chama cha Wananchi (CUF) wamejiondoa katika Bunge la Tanzania
katika kipindi cha 2015-2020 kwa kile kinachotajwa kama kukiukwa kwa
sheria za uchaguzi na kuporwa haki katika uchaguzi wa Zanzibar. Chini ni
nakala ya barua kwenda kwa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai.

BREAKING NEWZZZ......Wabunge wa CUF wajivua Ubunge
Reviewed by The Choice
on
8:30:00 PM
Rating:
No comments: