Binti Mrembo Ajinyonga Kwa Kamba Hadi Kufa..Aacha Ujumbe Mzito..Usome Hapa
Binti mmoja anayejulikana kwa jina la
Jesca ambaye ni mfanyakazi wa Longido Mountain Lodge amekutwa
amejinyonga katika hotel ya Longido Mountain Lodge akiacha ujumbe kuwa
kifo chake kisihusishwe na mtu yeyote amejinyonga kwa ridhaa yake
mwenyew akiacha ujumbe wa majina ya watu anao wadai walipe madeni yake
kabla ya kusafirishwa kwao pamoja na namba za Mama yake mzazi.
Binti Mrembo Ajinyonga Kwa Kamba Hadi Kufa..Aacha Ujumbe Mzito..Usome Hapa
Reviewed by The Choice
on
11:54:00 PM
Rating:
No comments: