Wema Sepetu na Idriss Wamtetea Lulu Michael Wadai Ahusiki Katika Mambo yao na Wala Hakufumaniwa

Baada ya Lulu Michael Kuhusishwa kwenye ugomvi wa Wema na Idris ...Wema na Idriss Wamechukizwa na Kitendo hicho na kuandika yafuatayo:

From @wemasepetu - Leave Her out of This... Please....!!!! @elizabethmichaelofficial Lala kwa Amani baby... Nimesema mimi... People dont know mwanzo wa vitu ila wanaongea as if wanayajua... Mi ntaendelea kukaa kimya ila muacheni huyu mtoto please...

Idriss naye Akaongezea Haya :


From @idrissultan - Acheni hizo lakini msiwe hivyo mimi na Wema we have our issues to solve na nina kiburi na yeye ana kiburi but sio ushindani nani anajua zaidi. So mnapojaribu kuingiza watoto wa watu kama @elizabethmichaelofficial my pure sister and friend ninudhalilishaji huu. Siku haya yameisha mtajiangalia kwenye vioo muone aibu kwa haya mambo tunayochochea. I believe mmepitiwa tu na hii sio nia yenu basi Mwenyezi Mungu awe nanyi katika yote mtakayosema na kutenda
Wema Sepetu na Idriss Wamtetea Lulu Michael Wadai Ahusiki Katika Mambo yao na Wala Hakufumaniwa Wema Sepetu na Idriss Wamtetea Lulu Michael Wadai Ahusiki Katika Mambo yao na Wala Hakufumaniwa Reviewed by The Choice on 12:18:00 PM Rating: 5

1 comment:

  1. I am a real fan of Cupid, he is so good singer, when ever I listen to Hallelujah song i fell i am not is this world. http://www.africaradios.com/

    ReplyDelete

Powered by Blogger.