Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akana Kutoa Amri ya Kufuta Matokeo ya Uchaguzi Zanzibar


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa na Rais Mstaafu Dokta Jakaya Kikwete amewataka watanzania kupuuzia uvumi unaoenezwa kuwa yeye ndiye aliyetoa amri ya kufuta matokeo ya Uchaguzi wa Zanzibar.
 
Amesema Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ina mamlaka kamili na hakuna mtu ambaye anaweza kuiingilia.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akana Kutoa Amri ya Kufuta Matokeo ya Uchaguzi Zanzibar Rais Mstaafu Jakaya Kikwete Akana Kutoa Amri ya Kufuta Matokeo ya Uchaguzi Zanzibar Reviewed by The Choice on 9:36:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.