HAWA NDO MAWAZIRI AMBAO HAWAKUJAZA FOMU ZA MAADILI.....RAIS MAGUFULI AWAPA MASAA MACHACHE LASIVYO ANAWAFUKUZA KAZI
Rais
Magufuli amewataka mawaziri 4 na naibu waziri mmoja kujaza na
kuwasilisha fomu ya tamko la mali zao Sekritarieti ya Maadili kabla ya
saa 12 jioni ya leo vinginevyo watakuwa wamejifuta kazi.
Akiongea na waandishi wa habari leo, Waziri Mkuu Majaliwa amewataja mawaziri hao kuwa ni Charles Kitwanga, January Makamba, Augustine Mahiga na Joyce Ndalichako. Naibu Waziri ni Luhaga Mpina.
Akiongea na waandishi wa habari leo, Waziri Mkuu Majaliwa amewataja mawaziri hao kuwa ni Charles Kitwanga, January Makamba, Augustine Mahiga na Joyce Ndalichako. Naibu Waziri ni Luhaga Mpina.
HAWA NDO MAWAZIRI AMBAO HAWAKUJAZA FOMU ZA MAADILI.....RAIS MAGUFULI AWAPA MASAA MACHACHE LASIVYO ANAWAFUKUZA KAZI
Reviewed by The Choice
on
7:34:00 PM
Rating:
No comments: