STAA OMMY DIMPOZ AMEAMUA KUINGIA KWENYE KILIMO BAADA YA GAME KUWA NGUMU
Zamani
tuliamini kuwa kilimo hufanywa na watu wanaoishi vijijini tu. Mambo
yamebadilika na kwasababu sasa hivi hakichukuliwi kama kilimo peke yake,
bali biashara ya kilimo na leo vijana wengi wa mjini wamejiingiza huko
sababu kinalipa.
Wakati
ambapo unadhani kuwa Ommy Dimpoz yupo kimya kimuziki, basi anapenda
kukufahamisha kuwa naye ni miongoni mwa vijana wa mjini walioingia
kwenye biashara hiyo.
Alipost
picha Instagram akiwa kwenye shamba lake na kuweka emoji za matunda,
ikiashiria kuwa huenda atafanya kilimo cha aina hiyo kwa sasa.
Ni
jambo zuri kwa vijana kuingia kwenye kilimo hasa kwakuwa tangu zamani
inafahamika kuwa kilimo ni uti wa mgongo wa taifa na katika zile fursa
10 alizotaja Ruge Mutahaba, hiyo ni fursa ya kwanza. Heko Dimpoz.
chanzo na Bongo5.
STAA OMMY DIMPOZ AMEAMUA KUINGIA KWENYE KILIMO BAADA YA GAME KUWA NGUMU
Reviewed by The Choice
on
6:48:00 AM
Rating:
No comments: