MREMBO PAM D AMSIFIA MWANADADA VANESSA MDEE NA ANATAMANI KUFANYA NAE KAZI
Msanii wa Bongo Fleva, Pam D aka Pam Daffa amesema kuwa anatamani kufanya kazi na Vee Money.
Akiongea na Bongo5, Pam D:
Sasa
hivi natarajia kuachia wimbo wangu mpya na Nay wa Mitego, nadhani
utatoka kama baada ya wiki mbili hivi, jina la wimbo kwa sasa hivi
siwezi kusema, ila ni wimbo ambao unahusu mapenzi. Natamani sana kufanya
kazi na Vanesa Mdee, ni msanii ambaye namuona ameanza vizuri sana na
pia naona ni msanii mwenye kujituma sana na mwenye mafanikio. Naona kila
siku anazidi kusogea mbele, nilishawahi kumwambia kuwa nataka kufanya
naye, alifurahi sana.”
CHANZO na Bongo5.
MREMBO PAM D AMSIFIA MWANADADA VANESSA MDEE NA ANATAMANI KUFANYA NAE KAZI
Reviewed by The Choice
on
6:46:00 AM
Rating:
No comments: