LEMUTUZ Afunguka Kuhusu Kijana Aliyekamatwa Arusha Kwa Kumwita Rais Bwege..Ailaumu Serikali na Polisi

 Blogger Lemutuz naye amefunguka kuhusu kijana aliyekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kutumia Mtandao wa Facebook kumwita Rais Magufuli Bwege  na kwamba hawezi kufananishwa na Nyerere..

Lemutuz Kayasema Haya..... 
lemutuz_nation Mr. Isaack Jana Arusha akirudishwa Rumande baada ya kushitakiwa na Serikali kwa kumtukana Rais Magufuli kwenye mitandao ya kijamii ....hapa ndipo ninapoilaumu Polisi na Serikali I mean huyu mtu kamtukana Rais juzi tu Jana tayari Mahakamani kwa nini iwe hivyo na kwa wananchi wa Kawaida? ....Sheria ipo now kama kuna njia rahisi ya kuwakamata hawa Cyber Abusers ni kwa nini wanapotukanwa Wananchi wa Kawaida inakuwa almost kama hamna Sheria wala uwezekano wa kuwakamata lakini akitukanwa Rais Mara moja wanapatikana? ....ndio maana ninasema na sisi Wananchi tusimameni tuhesabiwe tukatae hawa watu kutuvurugia amani kwenye Social Media .....tupambane nao hata kama itachukua muda mrefu lakini wapate ujumbe kwamba sio Wananchi wote tupo tayari kuwapa hiyo nafasi tutawatafuta na watafikishwa kwenye Sheria tu hata kama ni Miezi SITA au Mwaka wa kuwatafuta! - le Mutuz 34min
LEMUTUZ Afunguka Kuhusu Kijana Aliyekamatwa Arusha Kwa Kumwita Rais Bwege..Ailaumu Serikali na Polisi LEMUTUZ Afunguka Kuhusu Kijana Aliyekamatwa Arusha Kwa Kumwita Rais Bwege..Ailaumu Serikali na Polisi Reviewed by The Choice on 10:48:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.