Aliyekuwa Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA),Harry Kitilya leo Aprili, 1 akiwa pamoja na waliokuwa Wafanyakazi wa Benki ya StanBic Tanzania, Sioi Sumari na Shose Sinare wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Baada ya kufikishwa mahakamani hapo wamesomewa mashitaka nane ikiwa ni pamoja utakatishaji wa fedha pindi walipokuwa na vyeo katika ofisi hizo.
10356705_1076206792422738_4316161890029052409_n
Kamishna Mkuu Mstaafu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA),Harry Kitilya (kati) sambamba na waliokuwa Wafanyakazi wa Benki ya StanBic Tanzania, Sioi Sumari (kushoto) na Shose Sinare (kulia), wakiwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.