MBOWE ASEMA -- Uvumilivu una mwisho wake
MWENYEKITI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni mwenza wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananachi (UKAWA), Freeman Mbowe
Aidha Mwenyekiti huyo Mwenza wa Umoja huo, amesema kuwa uvumilivu una mwisho hivyo ameitaka serikali kuacha kutumia nguvu katika masuala ya kuwatumikia wananchi na kuwapa uhuru wa maamuzi wanayoyataka.
Mhe. Mbowe amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kimeonyesha kushindwa katika chaguzi kadhaa lakini kinalazimisha kuendelea kushikilia madaraka kwa nguvu hasa kwenye chaguzi za Mameya ikiwemo Uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam
MBOWE ASEMA -- Uvumilivu una mwisho wake
Reviewed by The Choice
on
7:07:00 AM
Rating:
No comments: