Kenya yashika nafasi ya tatu kwa ufisadi duniani
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya wameelezea
hofu ya taifa kujikuta katika mapinduzi kutokana na ufisadi
uliokithiri, huku walala hoi wakiendelea kutaabika ndani ya
nchi yao.
Ripoti mpya ya viwango vya ufisadi inaonesha Kenyaikishikila nafasi ya tatu kote ulimwenguni, licha ya serikali
kuweka mikakati ya kukabililiana na viotendo vya rushwa na ufisadi.
Utafiti huo wa shirika la Pricehouse-Water-Coopers
unaonesha Kenya ikiwa nafasi ya tatu nyuma ya Ufaransa na
Afrika Kusini.
Wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Kenya wameelezea
hofu ya taifa kujikuta katika mapinduzi kutokana na ufisadi
uliokithiri, huku walala hoi wakiendelea kutaabika ndani ya
nchi yao.
Katika mahojiano na sauti ya Amerika Maur Abdalla
Bwanamaka, mwenyekiti wa chama cha Uzalendo nchini
Kenya, ameutaja utumiaji mbaya wa mamlaka kama
unaochangia kwa kiasi kikubwa hali ilivyo
Kenya yashika nafasi ya tatu kwa ufisadi duniani
Reviewed by The Choice
on
9:56:00 PM
Rating:
No comments: