RAY;NILISHAWAHI KUMUOKOA NAY WA MITEGO ASIPIGWE
STAA
wa Bongo Movie, Vincent Kigosi ‘Ray’ kwa mara nyingine ameendelea
kuteka ‘headlines’ baada ya kuibuka na kudai kuwa alishawahi kumuokoa
staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego asipigwe.
Akizungumza
asubuhi hii katika kipindi cha Leo Tena kinachorusha na Clouds FM, Ray
alisema kuwa alipokuwa katika shoo ya Fiesta Mwanza, Nay alivamiwa na
kundi la wasanii wa Bongo Movie na kutaka kupigwa.
“Nilifanikiwa
kumzuia kwasababu wasanii walikuwa wengi wakiongozwa na Wema Sepetu
sasa nashangaa mwenzangu Nay ananisakama natumia pesa zote za mauzo ya
filamu namalizia kwenye mkorogo,” alisema Nay.
Chanzo:GPL
RAY;NILISHAWAHI KUMUOKOA NAY WA MITEGO ASIPIGWE
Reviewed by The Choice
on
11:40:00 PM
Rating:
No comments: