RAIS DR. JOHN POMBE MAGUFULI AMTAFUTA MSANII MALAIKA
Msanii wa Bongo Fleva, Diana Malaika Exavery ‘Malaika’.
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli hivi karibuni
aliwashangaza wasanii baada ya kumtafuta msanii wa Bongo Fleva, Diana
Malaika Exavery ‘Malaika’ walipokuwa kwenye mkutano wa wasanii
uliofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Tukio
hilo lilishuhudiwa kwa Magufuli akiimba moja ya wimbo ambao Malaika
alikuwa akiuimba kipindi cha kampeni za kuwania urais kisha kumuulizia
kama alikuwepo.
“Sikutegemea
kama Rais Magufuli angemkumbuka Malaika kwa kuimba nyimbo zake, kweli
ameonesha ni mfuatiliaji wa sanaa,” alisema mmoja wa wasanii .
Alipoulizwa Malaika kama aliyasikia hayo alikiri kuyasikia
RAIS DR. JOHN POMBE MAGUFULI AMTAFUTA MSANII MALAIKA
Reviewed by The Choice
on
11:11:00 PM
Rating:
No comments: