Pamoja na BASATA kuufungia wimbo wake wa ‘shika adabu yako’, Ney wa Mitego ataachia video ya wimbo huo Ijumaa



Pamoja na kuwa wimbo wake aliowachana mastaa kadhaa ‘shika adabu yako’, umefungiwa na Baraza la sanaa Tanzania BASATA, rapa Ney wa Mitego anaendelea na ratiba za utoaji wa video ya ngoma hiyo kama kawaida.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Ney ametangaza kuachia video hiyo February ya tarehe 26 yaani Ijumaa hii.
BASATA ilitoa waraka na tamko rasmi la kuufungia ‘mkwaju’ huu kwa madai kuwa unaenda kinyume na maadil
Pamoja na BASATA kuufungia wimbo wake wa ‘shika adabu yako’, Ney wa Mitego ataachia video ya wimbo huo Ijumaa Pamoja na BASATA kuufungia wimbo wake wa ‘shika adabu yako’, Ney wa Mitego ataachia video ya wimbo huo Ijumaa Reviewed by The Choice on 2:07:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.