BASI LA NATA RAHA LAPATA AJALI BUNDA LEO ASUBUHI
Watu
wanne wamefariki dunia na wengine kadhaa kujeruhiwa wajeruhiwa leo
asubuhi baada ya basi la Nata Raha toka Serengeti kuacha njia na kugonga
nguzo eneo la Kwa Sabato, Bunda. Mganga Mkuu Nicholas Machochota
athibitisha kutokea kwa vifo hivyo, pia majeruhi wamepelekwa katika
hospitali ya Bungando kwa matibabu zaidi.
BASI LA NATA RAHA LAPATA AJALI BUNDA LEO ASUBUHI
Reviewed by The Choice
on
3:09:00 PM
Rating:
No comments: