WATANGAZAJI PAUL JAMES(PJ) NA GERALD HANDO WAHAMIA RADIO EFM


(PJ) pamoja na Abel Onesmo Jumamosi hii wametambulishwa rasmi EFM.

Watangazaji wa zamani wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds Fm, Gerald Hando, Paul James


Mkurungenzi wa EFM Radio, Francis Siza ‘DJ Majay’ (kushoto) Paul James (PJ) pamoja na Gerald Hando

Utambulisho huo umefanyika katika sherehe za shindalo la Shika Ndinga 2016 zilizofanyika Mbagala Zakhiem jiji Dar.

Kupitia ukurasa wa EFM, wameandika:
Utambulisho wa wanafamilia wapya wa @efm_93.7@geraldhando @pjpauljames @abelonesmo #TUNALISONGESHA#huumchezohauhitajihasira
Tazama picha za utambulisho huo.

WATANGAZAJI PAUL JAMES(PJ) NA GERALD HANDO WAHAMIA RADIO EFM WATANGAZAJI PAUL JAMES(PJ) NA GERALD HANDO WAHAMIA RADIO EFM Reviewed by The Choice on 7:20:00 AM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.