RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA CCM WA WILAYA NA MIKOA
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli akizungumza
na Viongozi wa mikoa na wilaya wa Chama Cha Mapinduzi kutoka Tanzania
Bara na Visiwani Zanzibar ambapo aliwashukuru kwa kazi nzuri waliofanya
kipindi cha uchaguzi na kuwataka kuwa wamoja na kukiimarisha Chama.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Mhe.Philip Mangula akizungumza na kutoa neno
la shukrani kwa niaba ya Viongozi wote wa CCM waliofanikisha ushindi wa
Chama.
RAIS MAGUFULI AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA CCM WA WILAYA NA MIKOA
Reviewed by The Choice
on
7:35:00 PM
Rating:
No comments: