Mwandishi wa DW na Mwananchi aliyekuwa ametoweka kapatikana, alikuwa wapi?
Ni kutoweka kwa ripota wa idhaa ya Kiswahili Ujerumani DW, Salma Said ambaye alitekwa na watu wasiojulikana uwanja wa Ndege JK Nyerere jijini Dar es salaam.
Sasa kamanda wa polisi wa Dar es Salaam Simon Siro, jana amethibitisha kupatikana kwa mwanahabari huyo.
Mume wa Salma Said, Bw Ali Salim Khamis, amesema kwa sasa Salma anatoa maelezo kwa polisi Dar es Salaam.
Bado kizungumkuti kimetanda na swali zito, la wapi mwanahabari huyu aliwekwa kizuizini kwa siku tatu hizi??
Mwandishi wa DW na Mwananchi aliyekuwa ametoweka kapatikana, alikuwa wapi?
Reviewed by The Choice
on
11:27:00 AM
Rating:
No comments: