DOGO JANJA AWAPA ZAWADI YA GARI WAZAZI WAKE
Baada
ya Dogo Janja kununuliwa gari mpya aina ya Mercedes Benz na bosi wake
Madee na kumfanya kuwa na magari mawili, amedai gari lake la zamani
anawapelekea wazazi wake.
Hii ndio gari yake ya zamani ambayo amedai anaipeleka kwa wazazi wake
Akiongea
na Bongo5 hivi karibuni, Dogo Janja alisema kwa sasa hawezi kumiliki
magari mawili hivyo gari lake la zamani analipeleka kwa wazazi wake.
“Sasa hivi na magari mawili ila ile gari ya zamani itaenda nyumbani kwa wazee ili na wao wakakimbize,” alisema Dogo Janja.
Rapa huyo kwa sasa anafanya vizuri na video yake ya wimbo My Life.
DOGO JANJA AWAPA ZAWADI YA GARI WAZAZI WAKE
Reviewed by The Choice
on
8:14:00 PM
Rating:
No comments: