Bill Gates anaendelea kuwa mtu tajiri zaidi duniani kwa utajiri wa dola bilioni 75
Bill Gates anaendelea kuwa mtu tajiri zaidi duniani kwa utajiri wa dola
bilioni 75, licha ya kupungukiwa dola bilioni 4.2 kutoka mwaka jana.
Ameendelea kuwa namba moja kwa miaka mitatu mfululizo. Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg amekuwa na mwaka bora zaidi kuliko mabilionea wote.
Tajiri huyo mwenye umri wa miaka 31, ameongeza dola milioni 11.2 kwenye utajiri wake hadi kushika nafasi ya 6 kutoka nafasi ya 16 mwaka jana.

- Bill Gates – $75bn – Marekani
- Amancio Ortega – $67bn – Hispania
- Warren Buffett – $60.8bn – Marekani
- Carlos Slim Helu – $50bn – Mexico
- Jeff Bezos – $45.2bn – Marekani
- Mark Zuckerberg – $44.6bn – Marekani
- Larry Ellison – $43.6bn – Marekani
- Michael Bloomberg – $40bn – Marekani
- Charles Koch – $39.6bn – Marekani
- David Koch – $39.6bn – Marekani
Bill Gates anaendelea kuwa mtu tajiri zaidi duniani kwa utajiri wa dola bilioni 75
Reviewed by The Choice
on
1:12:00 PM
Rating:

No comments: