HUYU NDO MWALIMU NDIYE MWALIMU ALIYE REKODI TUKIO LA KIKATILI LA KUPIGWA MWANAFUNZI NA WALIMU KMBEYA DAY



Pichani ni mwalimu aliyechukizwa na kitendo cha walimu wanne waliomshambulia Mwanafunzi kama wamekutana na Scorpion, pia alisikika akisema "mwalimu muacheni mtamuumiza" naamini ameokoa wanafunzi wengi wanaopigwa kama nyoka mashuleni bila sisi wananchi na serikali kutojua
HUYU NDO MWALIMU NDIYE MWALIMU ALIYE REKODI TUKIO LA KIKATILI LA KUPIGWA MWANAFUNZI NA WALIMU KMBEYA DAY HUYU NDO MWALIMU NDIYE MWALIMU ALIYE REKODI TUKIO LA KIKATILI LA KUPIGWA MWANAFUNZI NA WALIMU KMBEYA DAY Reviewed by The Choice on 10:23:00 PM Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.