Mchezaji wa Sunderland, Adam Johnson ahukumiwa miaka sita jela baada ya kujihusisha kimapenzi na binti wa miaka 15
Mchezaji wa mpira wa miguu, Adam Johnson amehukumiwa kifungo cha
miaka sita jela baada ya kukutwa na hatia ya kufanya mapenzi na binti wa
miaka 15.
Jaji alimwambia kuwa hajaonesha majuto yoyote kutokana na kitendo chake na ni makosa yake mwenyewe
“This will be your first prison sentence, this is all entirely your fault.”
Mchezaji huyo ambaye alikuwa analipwa pound 60,000 kwa wiki ataanza kutumikia kifungo chake leo baada ya kuhukumiwa na jaji Jonathan Rose.
Mchezaji wa Sunderland, Adam Johnson ahukumiwa miaka sita jela baada ya kujihusisha kimapenzi na binti wa miaka 15
Reviewed by The Choice
on
8:15:00 PM
Rating:
No comments: